Watu 37 wanahofiwa wamefariki kutokana na mafuriko katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wa Kinshasa kutokana na mafuriko ya ghafla yaliyosababishwa na mvua nyingi ya Jumatano usiku kuamkia Alhamisi
Watu wasiopungua 37 wafariki kutokana na mafuriko ya ghafla Kinshasa DRC

1
Mtaa wa katikati wa Kinshasa umefunikwa kwa maji Alhamisi Januari 4, 2017. (VOA/TopCongo)

2
Garilililozama katika mafuriko ya Kinshasa,Januari 4, 2017. (VOA/TopCongo)

3
Mafuriko makubwa katika mji wa Kinshasa, yazamisha magari Januari 4, 2017. (VOA/TopCongo)

4
Mafuriko katika kitongoji mashuhuri cha Limete mjini Kinshasa, Januari 4 2017. (VOA/TopCongo)