Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 06:04

DRC: Wananchi wa Wilaya ya Masisi wakimbilia mjini Goma

Wananchi wanaokimbia makazi yao kutoka Wilaya ya Masisi, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameiomba serikali kumaliza mgogoro unaoendelea biana yake na waasi wa M23.

Maelfu ya wakaazi wa Wilaya ya Masisi wakiwa njiani kuelekea Goma kusalimisha maisha yao baada ya vita kupamba moto katika eneo la mji wa Sakae. Picha zote na Austere Malivika.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG