Watu watatu wameuwawa na takriban 100 kujeruhiwa baada ya mabomu mawili kulipuka karibu na eneo la kumaliza mbio za 117 za Boston marathon.
Milipuko miwli yatokea wakati wa mbio ndefu za Boston marathon

1
Picha ya video ya kituo cha WBZ TV, ambapo watu na wanariadha wakikimbia kutoka mahala inayosemekana mabomu mawili yalilipuka moja baada ya nyingine. Aprili 15, 2013.

2
Wafanyakazi wa huduma za afya wakiwasaidia watu kwenye eneo la kumalizika mbiyo za Marathon ya Boston 2013. April 15, 2013.

3
Wafanyakazi wa afya wakimbeba mtu aliyejeruhiwa upande wa pili wa tepu ya kumaliza mbiyo za Boston kufuatia mlipuko wa bomu. April 15, 2013.

4
Mwanamke akiikumbatiwa na mwanamume anaemtuliza baada ya milipuko miwili karibu na hema ya huduma za dharura, Boston, Massachusetts, Aprili 15, 2013.