Watu watatu wameuwawa na takriban 100 kujeruhiwa baada ya mabomu mawili kulipuka karibu na eneo la kumaliza mbio za 117 za Boston marathon.
Milipuko miwli yatokea wakati wa mbio ndefu za Boston marathon

5
Wafanyakazi wa afya wanasukuma gari la mgonjwa wakimpeleka mtu aliyejeruhiwa kwenye eneo la hema ya huduma za dharura upande wa pili wa eneo la kumaliza mbio za Marathon za Boston. Aprili 15, 2013.

6
Wafanyakazi wa afya wanasukuma gari la mgonjwa wakimpeleka mwanamke aliyejeruhiwa kwenye eneo la hema ya huduma za dharura upande wa pili wa eneo la kumaliza mbio za Marathon za Boston. Aprili 15, 2013..

7
Mkimbiaji wa Marathon asiyejulikana akiondoka kwenye mashindano akilia karibu na uwanja wa Copley baada ya milipuko huko Boston, Aprili 15, 2013.

8
Wafanyakazi wa huduma za afya wakiwasaidia watu baada ya mlipuko.April 15, 2013.