Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 09:52

#BALonVOA2021 : Timu pamoja na ushindani zaonyesha upendo


#BALonVOA2021 : Timu pamoja na ushindani zaonyesha upendo
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:08 0:00

Timu zinazoshiriki katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) pamoja na kuwa ni washindani wakitafuta nafasi ya juu bado wanaonyesha jinsi michezo inavyo jenga upendo.

Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika (BAL) imezileta pamoja timu za Kiafrika 12 mjini Kigali, mji mkuu wa Rwanda, ambapo zinashindana zikiwania nafasi ya juu. Michuano hiyo ilianza Mei 16 na itamalizika Mei 30, 2021,

Makundi

XS
SM
MD
LG