Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 10:02

#BALonVOA2021 : Rais wa BAL aeleza umuhimu wa Ligi inayofanyika Rwanda


#BALonVOA2021 : Rais wa BAL aeleza umuhimu wa Ligi inayofanyika Rwanda
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:47 0:00

Mahojiano maalum na Rais wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) Amadou Gallo Fall na mwandishi wa Sauti ya Amerika Cheick Thiero, kwa lugha ya Kiingereza akieleza umuhimu na mafanikio ya ligi hiyo katika wiki ya kwanza. Endelea kumsikiliza...

Ligi hii ya Mpira wa Kikapu Afrika (BAL) imezileta pamoja timu za Kiafrika 12 mjini Kigali, mji mkuu wa Rwanda katika mashindano yaliyoanza Mei 16 na yatadumu hadi Mei 30, 2021.

Makundi

XS
SM
MD
LG