Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 16, 2025 Local time: 00:41

AFCON 2019 MISRI : Mchezaji wa Kimataifa Sadio Mane Aisifu Uganda


AFCON 2019 MISRI : Mchezaji wa Kimataifa Sadio Mane Aisifu Uganda
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:37 0:00

Senegal iliwanyuka Uganda moja bila katika pambano lililokuwa kali la mtoano wa raundi ya 16 ya michuano ya AFCON. "Kusema kweli sijawahi kuona timu yenye stamina na washambuliaji hodari kama Uganda," ameeleza nyota wa timu ya Senegal Sadio Mane.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal anayecheza katika ligi ya Uingereza Sadio alitumia fursa ya makosa waliofanya walinzi wa Uganda na kupachika bao katika dakika ya 15 ya mchezo huo.

Mahojiano yamefanywa na mwandishi wa VOA Sunday Shomari, Cairo, Misri

Makundi

XS
SM
MD
LG