Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 05:02

Kituo chafunguliwa Jumapili kutokana na kujitokeza kwa idadi kubwa ya wapiga kura


Kituo chafunguliwa Jumapili kutokana na kujitokeza kwa idadi kubwa ya wapiga kura
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:52 0:00

Kituo kimoja cha kupiga kura katika mji wa Brooklyn Park, Minnesota, Marekani, chalazimika kufunguliwa siku ya Jumapili kutokana na idadi kubwa ya watu waliokuwa wanaendelea kujitokeza kupiga.

Ungana na mwandishi wa VOA Abdushakur Aboud akikuletea ripoti kamili ya hali ya upigaji kura inayoendelea katika mji huo. Endelea kusikiliza...⁣⁣

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG