Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 23, 2024 Local time: 02:19

Sababu za wapiga kura Marekani kuamua rais wanayemtaka na wengine wakitafakari


Sababu za wapiga kura Marekani kuamua rais wanayemtaka na wengine wakitafakari
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:06 0:00

Baadhi ya Wamarekani tayari wamefanya maamuzi kuhusu rais wanayemtaka huku upigaji kura wa mapema ukiwa unaendelea katika majimbo mengi.

Lakini kuna wapiga kura waliobaki ambao wanasema hawajaamua kati ya Kamala Harris na Donald Trump. Ungana na wachambuzi wa siasa za Marekani wakikupa sababu inayofanya kuwepo makundi hayo mawili...⁣

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG