Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 25, 2025 Local time: 03:18

Hamas na Israel wote wanatuhumiwa kwa uhalifu wa kivita katika vita vyao vinavyoendelea

Wataalam wanasema Hamas imetekeleza uhalifu wa kivita kwa kufanya mashambulizi holela ya roketi na shambulizi la Oktoba 7 dhidi ya Israel ambalo lilisababisha vifo vya watu 1,400.

Wakosoaji wanasema majibu ya Israel ni adhabu kwa raia wa Palestina na ukiukaji wa haki za binadamu. Israel imefanya mashambulizi ya nguvu ya mabomu huko Gaza, imeamuru kuondoka Wapalestina na imezuia chakula, maji, mafuta na umeme kuwafikia. Maafisa wa Wapalestina wanaripoti kuwa watu 7,000 wameuawa huko Gaza.


Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG