Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 04:59

Jill Biden, mke wa rais wa Marekani atembelea miradi Kibera, kitongoji cha Nairobi

Mke wa rais wa Marekani, Jill Biden, ametembelea kitongoji cha Kibera na kukutana na wanawake wanaojiwezesha kwa kutumia umoja wa kujiwekea fedha.

Chini ya mtindo huo, wanawake ambao mara nyingi hawana uwezo wa kupata mikopo kutoka kwa taasisi za fedha, hukopa pesa walizokusanya pamoja. Hii inawawezesha wanawake kuanzisha au kuendeleza biashara zao wenyewe, kukidhi gharama za nyumbani na hata kuwekeza katika elimu ya watoto wao.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG