Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 15, 2025 Local time: 22:40

Mashabiki wa Nigeria na Misri waonyesha shauku ya ushindi


Mashabiki wa Nigeria na Misri waonyesha shauku ya ushindi
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:58 0:00

Mashabiki wa soka wenye shauku walikusanyika uwanja wa mpira wa Stade Roumde Adjia mjini Garoua, Cameroon Jumanne, kabla ya kufunguliwa kwa michuano ya Kundi D kati ya Nigeria na Misri katika Kombe la Soka la Mataifa ya Afrika.

Wakati Sudan na Guinea-Bissau zikiwa timu nyingine katika kundi hilo, ushindani kati ya ‘Super Eagles’ na ‘The Pharaohs’ unaweza kuendelea kwa muda mrefu ilikufikia hatma ya nani atafikia kutolewa.
Mafahari hao wawili wa soka ya Afrika wameshinda mshindano 10 barani humo kati yao – Misri inarekodi ya kushinda mara saba, lakini mara ya mwisho imechukua kikombe 2010. Kombe la mwisho la Nigeria katika kushinda mara tatu walinyakua mwaka 2013.

Chanzo cha habari hii ni shirika la habari la AP

Makundi

XS
SM
MD
LG