Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 16, 2025 Local time: 00:00

Cameroon yaifunga Burkina Faso 2-1


Cameroon yaifunga Burkina Faso 2-1
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:27 0:00

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika iliyoahirishwa 2021 imeanza Jumapili wakati wenyeji wa michezo hiyo Cameroon waliwafunga Burkina Faso 2-1, huku Cape Verde wakishinda 1-0 dhidi ya Ethiopia katika Kundi A.

Sudan ilipata ushindi wa kushangaza dhidi ya Afrika Kusini kwa 2-0 mwaka 2021 uliwawezesha kufuzu kuingia katika kinyang’anyiro, na wapinzani wao kutolewa, wakijitayarisha Jumatatu kabla ya mechi yao ya ufunguzi dhidi ya Guinea Bissau Jumanne.

Guinea Bissau inashiriki kwa mara ya tatu mfululizo michuano ya AFCON lakini walitolewa katika ushindani wa makundi mwaka 2017 na 2019.

Sudan inakabiliwa na ushindani mkali katika Kundi D, wakati Nigeria na timu ya Mo Salah ya Misri wakisubiri kupambana na Falcons of Jediane Januari 15 na 19.

Chanzo cha Habari hii ni Shirika la Habari la AP

Makundi

XS
SM
MD
LG