Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 18:29

Rais Biden akihutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden akihutubia mbele ya bunge Jumatano usiku tangu achukuwe hatamu za uongozi, na kuainisha mpango wake wa dola trillioni 4.

Biden ameeleza kiwango cha dola trilioni 4 zitatumiwa na serikali katika miradi ya miundombinu, uchumi na kuboresha maisha ya mamillioni ya Wamarekani.

Katika hotuba yake, Biden amesema kwamba amerithi nchi ambayo ilikuwa katika mzozo kutokana na janga baya ambalo halijawahi kutokea kwa karne nzima.


Pandisha zaidi

16x9 Image

Jaffar Mjasiri

Ni Mwandishi na Msimamizi wa Mitandao ya Kijamii, VOASwahili

 

Makundi

XS
SM
MD
LG