Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 21:35

Uchaguzi Mkuu Burundi wafanyika wakati janga la corona likiendelea

Karibu wa-Rundi elfu tano wanashiriki katika uchaguzi mkuu wa kwanza wenye ushindani tangu kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1998. Uchaguzi huu unafikisha ukingoni utawala wa miaka 15 wa Rais Pierre Nkurunziza.

Uchaguzi unafanyika wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, na kugubikwa na wasiwasi wa ghasia pindi matokeo hayataridhisha upande wowote kati ya wagombea wawili wanaoongoza.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG