Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda imewaamrisha kurudi nyumbani wanadiplomasia hao waliokuwa katika ubalozi wa nchi hiyo nchini Denmark
Ujumbe wa ECOWAS pia utakutana na rais aliyeondolewa madarakani, Keita, pamoja na maafisa wa serikali na jeshi wanaozuiliwa na wanajeshi waasi
Kalinichenko pia amesema kuwa “baada ya kupokea ombi la wanafamilia juu ya kusafirishwa kwa mgonjwa,” familia ya Navalny itasimamia kikamilifu jukumu la safari hiyo.”
(Musene), Mawakili Dorah Mirembe (Mirembe), na mumewe Mirembe, Patrick Ecobu (Ecobu), walishiriki katika utapeli huo ambao katika mazingira fulani, watoto waliondolewa kutoka kwenye familia zao Uganda
Azimio la Marekani liliungwa mkono kwa kura mbili – za Marekani na Jamhuri ya Dominica. Russia na China zilipiga kura kupinga hatua ya vikwazo hivyo, na nchi nyingine 11 wanachama wa baraza hawakupiga kura.
Trump aliandika katika ujumbe wa twitter kuhusu tamko la pamoja kati ya nchi hizo tatu, akisema kuwa hilo, “kwa kweli ni jambo la kihistoria.”
Viongozi wa dunia wameahidi Jumapili kuchangia takriban dola milioni 300 kwa ajili ya Lebanon ili kuisaida kujikwamua kutokana na athari za mlipuko wa Beirut.
“Twitter itakabiliwa na wakati mgumu kuweza kukusanya fedha za kutosha kununua mtandao wa TikTok unaoendesha shughuli zake Marekani. ..."
“Maafa yaliyoipata Nagasaki na Hiroshima na madhila yaliosababishwa na bomu hilo kwa watu wake lazima yasijirudie tena,” Abe alisema.
Mwezi June, Serifo Camara, mhariri wa Capitol FM, alishambuliwa na watu wenye silaha nje ya kituo cha radio hiyo akitoka kutangaza habari za usiku kituoni.
Maafisa wa afya Lebanon pia wanahofia kuwa maafa haya yataongeza mlipuko wa COVID-19 kutokana na walioathirika kusongamana hospitalini na wasio na makazi kutafuta hifadhi.
Mashambulizi ya hivi karibuni nchini Syria yanaongeza mvutano kati ya Israeli na Iran.
Kampuni hiyo imesema katika taarifa iliyotolewa Jumatano jioni kuwa ujumbe huo ulivunja kanuni zinazokataza upotoshaji wa COVID.
Wanaanga wawili wa Marekani Doug Hurley na Bob Behnken wako katika safari ya mwisho na sehemu muhimu ya majaribio ya chombo cha kampuni binafsi cha SpaceX kurejea duniani, Jumapili.
Bila ya kuwa na maelezo ya kufuata wala hakuna muda wa kusubiri kupatikana utafiti juu ya janga hilo, tovuti ya video za YouTube ilikuwa chombo muhimu
Katika baadhi ya nchi Waislam wanasali majumbani na sehemu nyingine misikiti imeweka utaratibu maalum wa kuruhusu idadi ndogo tu kuhudhuria ibada hiyo.
Baada ya hapo Lewis atapelekwa kuzikwa katika eneo la makaburi ya South View mjini Atlanta.
Mkapa alifariki katika hospitali moja mjini Dar es Salaam kutokana na mshtuko wa moyo Alhamisi usiku.
Biden amekuwa akisema katika miezi yote ya kampeni kuwa anataka kuhitimisha utawala wa Trump unaokwenda kinyume.
Trump alizindua rasmi kampeni yake ya kutaka kuchaguliwa tena mwezi Juni 2019 huko Orlando, Florida, kwa kauli mbiu, “Iendeleze Marekani kuwa yenye nguvu,”
Pandisha zaidi