Serikali ya mpya ya waziri mkuu wa Tunisia Ghannouchi imekumbwa na msuko suko baada ya kujiuzulu kwa mawaziri wanne.
Wabunge wa chama tawala waidhinisha mabadiliko ya katiba kufutilia mbali duru ya pili ya uchaguzi wa rais. Upinzani unasusia utaratibu.
Rais Ben Ali wa Tunisia aliyetawala kwa miaka 23 amelazimika kukimbia nchi kufuatia ghasia ambazo hazijawahi kutokea kwa miongo kadha.
Dk, Remmy, kama alivyo kua akijulikana au Sura Mbaya, mwanamusziki maarufu ameaga dunia Jumatatu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kuna wa Tanzania wanasema wana uhuru wa kujitawala lakini, wengine wanasema tamaa ya maendeleo ya haraka kujitawala haijapatikana bado.
Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi wanatoa wito kwa Gbagbo kujiuzulu kama rais wa Ivory Coast na kumkabidhi madaraka mpinzani wake.
Maandamano yalifanyika Jumatano huko Abidjan, Ivory Coast wakati Bw. Mbeki akiendelea na juhudi za kutafuta suluhisho la kisiasa.
Rais Laurent Gbagbo wa Ivory Coast ameapishwa kwa mhula mwengine licha ya upinzani mkubwa kutoka ndani ya nje ya nchi.
Maafisa wa afya wa Tanzania wanasema kuna haja ya kuimarisha juhudi za kupunguza uambukizaji HIV katika maeneo ya mashambani.
Annan akifuatana na Ocampo wamekutana na Rais Kibaki na Odinga kutahmini maendeleo ya mageuzi huko Kenya.
Mkutano wa viongozi wa IGAD juu ya Sudan haukufanikiwa kutanzua mivutano kati ya viongozi wa kaskazini na kusini kabla ya kura ya maoni.
Kesi ya uhalifu wa vita dhidi ya kiongozi wa zamani wa upinzani huko DRC J. P. Bemba imenaza The Hague, kwenye mahakama ya ICC.
Wabunge wenye ushawishi Marekani wanasema hukumu iliyotolewa dhidi ya Ghailani ni ishara ya kuzuia kesi za kiraia kwa ajili ya ugaidi.
UM unasema hatua za dharura zinabidi kuchukuliwa ili kuhakikisha kura ya maoni juu ya uhuru wa Sudan Kusini inafanyika kwa amani.
Marekani inaiomba Misri kuruhusu mikusanyiko ya amani ya kisiasa, uhuru wa vyombo vya habari kabla ya uchaguzi wa bunge wa Novemba 28
Kiongozi wa upinzani Burma, Suu Kyi ametoa wito wa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya serikali na upinzani akihutubia wafuasi wake.
Viongozi wa G-20 wanasema wamefikia makubaliano muhimu baada ya majadiliano marefu ya usiku huko Seoul, Korea ya Kusini.
Waendesha mashtaka wakamilisha kesi yao dhidi ya Ghailani wakimueleza kua ni muuwaji wa halaiki ya watu katika mashambulio ya 1998.
Watanzania wakiwa wanasubiri kujua atakae tangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais, Dk. Wilbrod Slaa anataka kura zihesabiwe tena.
Wapiga kura wa Marekani wamekipatia ushindi mkubwa chama cha Republicans katika uchaguzi wa kati kati ya mhula
Pandisha zaidi