Wachambuzi wanasema uchaguzi wa Jumanne unaweza kuleta mabadiliko ya uwongozi katika bunge wakati wapiga kura wanawachagua wabunge wao
Kutokana na mashindano makali kati ya chama tawala cha CCM na cha upinzani Chadema imekua vigumu kutangazwa mshindi kama ilivyotarajiwa.
Kesi ya Mtanzania Ghailani, anaetuhumiwa kwa mashambulio ya mabomu dhidi ya ubalozi wa Marekani 1998 huwenda ikamalizika mapema.
Mashabiki saba wa kandanda wauwawa kwa kukanyagwa Jumamosi wakijaribu kuingia uwanjani Nairobi wakati wa mchuano wa timu mbili mashuhuri
Mawaziri wa fedha wa Afrika wasema mageuzi zaidi yanahitajika ingawa Afrika imepatiwa sauti katika baraza la utawala la IMF na Benki kuu
Prof Lipumba kiongzi wa CUF anasema wananchi wamechoshwa na maisha magumu lakini tume ya uchaguzi ni tatizo kwa upinzani kupata ushinda.
Mgombea kiti cha rais wa APPT, Peter Mziray asema wananchi wamechoshwa na CCM na upinzani hauwezi kua na mgombea mmoja, sheria hairuhusu
Mgombea kiti cha rais wa chama cha TLP Bw.Mugahywa anasema chama chake kitatoa huduma za bure za afya na elimu na maisha bora kwa wote
Tume ya kupambana na ulaji rushwa Kenya imeombwa kuchunguza na kutangaza makampuni yanayohusika na rushwa ili kuweza kunyimwa kandarasi.
Katibu mkuu wa UM anaipongeza Liberia kwa kudumisha amani na kupambana na ulaji rushwa alipokutana na rais J. Sirleaf huko New York.
Viongozi wanaokutana kwenye UM kutathmini maendeleo ya MDG's wahimiza juu ya umuhimi wa kufikia malengo yote 8 ifikapo 2015
Maafisa wa Kashmir upane wa India watangaza amri ya kutotoka nje siku moja baada ya waandamanaji kutia moto majengo ya serikali.
Viongozi wa COMESA wanakutana Swaziland kujadili masuala mbali mbali ya kuimarisha ushirikiano kati yao na Jumuia za kikanda na biashara
Serikali ya Kenya inahitlafiana kutokana na kualikwa kwa rais wa Sudan Omar al- Bashir kwenye sherehe za kuzindua katiba mpya.
Kufurika kwa mto Yalu kwenye mpaka wa China na Korea Kaskazini kumesababisha kuhamishwa watu elfu 50 kutoka mji wa Dandong.
Ban K-i-moon atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko makubwa Pakistan na kuihimiza wafadhili kuharakisha misaada kwa waathiriwa.
Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi, amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani umeanza kua mzuri baada ya miezi ya mivutano.
Mapinduzi katiika mkakati wa tiba na kinga ndiyonjia ya kuweza kuushinda ugonjwa wa Ukimwi amesema mkurugenzi wa UNAIDS, Vienna.
Licha ya mchezo wa kusisimua kabisa vijana wa Ghana waaga kombe la Dunia kwa kushindwa kwa magoli ya penelti dhidi ya Uruguay 4-2
Pandisha zaidi