Miaka 50 tangu kujinyakulia uhuru DRC imeshuhudia ghasia, utawala mrefu wa kimabavu na mapigano, leo juhudi ni za amani na maendeleo.
Ikiwa imebaki siku 7 tu kabla ya kuanza Kombe la Dunia, kwa mara ya kwanza barani Afrika, homa ya kandanda imeshapanda Afrika Kusini
Rais wa Ufaransa ameahidi kuimarisha uhusiano na bara la Afrika na kuongeza msaada wake kwa ajili ya usalama.
Mazungumzo ya kutayarisha ratiba ya uchaguzi wa rais huko Comoros kati ya serikali na upinzani yamekwama, baada ya kutoelewana.
Maafisa wa uchaguzi wa Ethopia wasema wapigaji kura walijitokeza kwa wingi kuwahi kutokea katika uchaguzi wa bunge.
Serikali ya Thailand imekata pendekezo la viongozi wa waandamanaji la kuitaka Umoja wa Mataifa kuwa mpatanishi wa ugomvi wao.
Mahakama ya katiba Comoros yaamua kwamba Rais Sambi hatoweza kuongeza muda wa mhula wake unapomalizika Mei 26, upinzani washeherekea.
Serikali ya Nigeria ilitangaza Jumatano usiku kwamba rais Umaru Yar’Adua amefariki baada ya ugonjwa wa muda mrefu.
Mtuhumiwa wa jaribio la bomu New York akamatwa akijaribu kuelekea Dubai.
Bi Clinton amesema Marekani ina nia ya kuzuia kuenea na kuangamiza silaha za nuklia pamoja na kutangaza idadi ya silaha zake.
Waasi wa CNDP katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanasema wako tayari kufanya mazungumzo ya amani na serikali ya rais Laurent Kab
Baada ya kufaya kazi ya kuwaondoa watu katika hoteli mbili za kifahari zilizoshambuliwa na magaidi mjini Mumbai, polisi wa India wamez
Mkutano wa kutanzua matatizo ya usafiri wa mizigo ya biashara Afrika mashariki umemalizika leo katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali