Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 05:42

Zaidi ya watu 500 wafariki kutokana na mafuriko DRC

Zaidi ya watu 500 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katika jimbo la Kivu kusini, DRC, huku baadhi ya nyumba zikisombwa hadi Ziwa Kivu . Serikali ikitangaza idadi ya watu waliofariki kuwa takriban 200 lakini wakazi wanasema ni zaidi ya elfu moja.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG