Maandamano vile vile yamefanyika mwishoni mwa wiki ya mwezi wa Oktoba 2022, kuwataka wakuu wa serikali kusitisha mapigano na kuanza mazungumzo ya amani.
Watu wakimbia mapigano kati ya M23 na wanajeshi wa FARDC karibu na Rutshru, DRC
Wakazi wa vijiji karibu na mji wa Rutshuru mashariki ya Congo wanakimbia mapigano makali kati ya wanajeshi wa FARDC na wapiganaji wa M23 wanaosonga mbele na kunyakua miji zaidi.

1
Wakazi wakimbia mapigano kati ya M23 na wanajeshi wa FARDC mashariki ya DRC

2
Mvutano kwenye kivuko cha mji wa Beni

3
Maandamano ya kuitisha amani mashariki ya DRC

4
DRC soldiers from the FARDC fighting with M23 near the town of Rutshuru