Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 10:39

Watengeneza Filamu wa Nigeria Wana matumaini Baada ya Mauzo ya Tiketi Kupanda sana


Watengeneza Filamu wa Nigeria Wana matumaini Baada ya Mauzo ya Tiketi Kupanda sana
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:30 0:00

Sekta ya filamu ya Nigeria, aghlabu hujulikana kama Nollywood, ni watengenezaji wakubwa wa pili wa filamu ulimwenguni kwa kipimo cha wingi wa filamu hizo na inapiga hatua kwa vyote viwili Sanaa na umaarufu katika mauzo ya tiketi.

Timothy Obiezu anaripoti kutoka Abuja.⁣ ⁣ Mtengenezaji filamu wa Nigeria Paul Cast anafanya maandalizi ya mwisho kabla ya kutoa filamu yake ya hivi karibuni – “Just the Two of Us.” Mradi huo unatarajiwa kuingia sokoni Aprili na Cast anasema ana matumaini itapata umarufu mkubwa.⁣ ⁣ Hadithi hiyo ilikuwa hasa kuhusu familia moja ⁣ na jinsi walivyoweza kufikia safari yao, iliyokuwa⁣ ya raha na tabu – hasa wakijaribu kuonyesha ⁣ jitihada mbalimbali ambazo hujitokeza wakati ⁣ watu wanapokuwa katika mahusiano.⁣

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG