Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 03, 2025 Local time: 02:48

Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris


Wasifu wa Mgombea Urais kwa tiketi ya Demokratiki Kamala Harris
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:29 0:00

Akitoka kutoka moja ya maeneo yenye mchanganyiko mkubwa na ya kiliberali hapa Marekani, mgombea urais wa Democratic Kamala Harris amekuwa katika nyanja ya siasa kati ya kuwa mwendesha mashtaka mkali na mwanamageuzi mwenye maono ya mbele.

Kamala Harris, anasema: “Mama yangu alikuwa kipaji, alikuw ana urefu wa futi tano, kahawia na mwenye lafudhi.” Hadithi ya Kamala Harris inanza mwaka 1964 alipozaliwa, Kwenye vitongoji mbali mbali na vyema maendeleo katika eneo la San Franscisco Bay. Mwandishi wa VOA Khadija Riyami anasimulia..

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG