Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 05, 2025 Local time: 08:27

#VOAElections2020 : Wamarekani washeherekea ushindi wa Rais mteule Biden

Wafuasi wa chama cha Demokratik wafurahia tangazo la vyombo vya habari kwamba mgombea kiti cha rais wa chama cha Democratic Joe Biden atakuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2020. Huku wafuasi wa Donald Trump wakiandamana kupinga ushindi huo.

Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden, ​ambaye anajulikana katika duru za siasa za Washington kwa karibu nusu karne, ametajwa kwamba atakuwa mshindi wa urais Marekani ​na anatarajiwa kuapishwa Januari 20, na kuwa rais mwenye umri mkubwa kuliko marais wote waliopita.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG