Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 08:17

Wamarekani waadhimisha miaka 57 ya hotuba ya Dkt King 'I HAVE A DREAM'

Maandamano kuadhimisha miaka 57 tangu kufanyika maandamano ya kihistoria kutetea haki za kiraia Marekani, ambapo kiongozi wa kutetea haki za kiraia Dkt Martin Luther King Jr. alitoa hotuba mashuhuri ya "I Have a Dream" katika uwanja wa Lincoln Memorial, Washington, DC, Ijumaa Agosti 28, 2020.

Asasi mbalimbali za kiraia nchini Marekani zimeandaa maandamano haya na kuwaleta watu 50,000 kutoka majimbo mbalimbali nchini kuhudhuria maadhimisho haya ya MLK. Maandamano haya yanalenga kuzungumzia suala la ubaguzi, ukatili unaodaiwa kufanywa na polisi dhidi ya Wamarekani, na kuhamasisha watu kupiga kura.

PICHA NA MWANDISHI WETU, ABDUSHAKUR ABOUD, WASHINGTON, DC

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG