Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 00:42

Uchaguzi wa rais wa 2024 unatoa ishara ya kuwepo ushindani mkali kati ya wagombea wawili


Uchaguzi wa rais wa 2024 unatoa ishara ya kuwepo ushindani mkali kati ya wagombea wawili
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:49 0:00

Fursa mbalimbali zilizowasilishwa na vyama vikuu viwili – Demokratic na Republican – vina uhakika  kuwa rais ajaye atakuwa anatokana na chama kimoja wapo kati ya hivyo, kama ilivyokuwa kwa marais wote tangu 1856. Utawala wa  mfumo wa vyama viwili unaweza kuonekana ni kitu cha ajabu.

Katiba ya Marekani haielezi chochote kuhusu vyama vya siasa, na George Washington – yeye mwenyewe rais wa kwanza na pekee kuchaguliwa bila ya kuwakilisha chama cha siasa – alitahadharisha dhidi ya vyama katika hotuba yake ya kuliaga taifa. Hii hapa ripoti kamili ikisomwa na mwandishi wa VOA Kennes Bwire...

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG