Uchaguzi Mkuu wa Urais Kenya: Hali ilivyokuwa katika vituo vya kupiga kura
- Abdushakur Aboud

1
Wananchi wakisubiri kupiga kura, katika kituo cha Westland, Nairobi.

2
Maafisa wa vituo vya kupiga kura wakijiandaa kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza Jumanne, katika shule ya msingi ya Westland, Nairobi, Kenya.

3
Masanduku ya kupiga kura yakiwa tayari katika kituo cha kupiga kura katika kituo cha Westland Nairobi, Kenya.

4
Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi mkuu mjini Nairobi, Kenya 2022.