Uchaguzi Kenya Katika Picha 2013

1
Watu waliripoti kusimama katika mistari kwa saa kadha kabla ya kupiga kura huko Gatundu, Kenya, March 4, 2013.” (J. Craigs/VOA)

2
Wakenya wakiwa katika msitari wa kupiga kura mjini Nairobi

3
Msitari unazidi kuongezeka katika shule ya msingi ya Mutomo wakati wanajitayarisha kupiga kura, Gatundu, Kenya, March 4, 2013.” (J. Craig/VOA)

4
Watu wa jamii ya Wamasaai wakiwa katika msitari wa kupigia kura katika uchaguzi mkuu nje ya shule ya msingi ya huo Kumpa, Kenya, March 4, 2013.