Hollywood yatoa heshima kwa wachezaa filamu bora wa mwaka wakati wa tamasha la 86 la kila mwaka la Academy Awards mjini Los Angeles, California.
Washindi wa tuzo maarufu ya Oscar

1
Kutoka kushoto, Matthew McConaughey, Cate Blanchett, Lupita Nyong'o, na Jared Leto wakipiga picha katika chumba cha wandishi habari pamoja na tuzo lake la Oscars ndani ya jengo la michezo ya kuigiza la Dolby Theatre, Machi 2, 2014, mjini Los Angeles.

2
Matthew McConaughey mshindi wa tuzo la mchezaji bora katika filamu ya "Dallas Buyers Club" kwa mwaka 2014.

3
Cate Blanchett akizungumza kwenye jukwa baada ya kushinda tunzo la mchezaji bora mwanamke kwa kucheza katika filamu ya 'Blue Jasmine" wakati wa tamasha la 86 la Academy Awards huko Hollywood, CA, March 2, 2014.

4
Jared Leto akikubali kupokea tuzo lake la muigizaji msaidizi bora katika filamu ya “Dallas Buyers Club” wakati wa tamasha la Oscars katika ukuimbi wa Dolby Theatre on Machi8 2, 2014, mjini Los Angeles.