Mwandishi wa habari ambaye anaishi uhamishoni anaeleza kuwa uhuru wa habari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado uko mashakani, pamoja na kuingia Rais mpya Felix Tshisekedi, huku mauaji ya waandishi bado hayajafanyiwa uchunguzi.
Mwandishi wa habari wa Congo aeleza mauaji ya waandishi hayajafanyiwa uchunguzi