Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 13:43

Mvua zasababisha vifo na uharibifu wa mali Afrika Mashariki


Mvua zasababisha vifo na uharibifu wa mali Afrika Mashariki
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Mabadiliko ya hali ya tabia nchi yanaendelea kuleta athari kubwa duniani. Mvua, matetemeko, mafuriko na vimbunga vimekuwa vikishuhudiwa katika meneo mbalimbali. Jarida la wikiendi linaangazia kuona kama ushari kutoka kwa wataalamu unazingatiwa ili kuchukua tahadhari kepuka madhara makubwa.

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG