Rais Obama na makamu wake Joe Biden waapishwa rasmi ikulu kabla ya sharehe mbele ya umaa Jumatatu tarehe 21 Januari.
Obama na Biden waapishwa kwa mhula wa pili Januari 20, 2013

1
Obama aapishwa rasmi ikulu kufuatana na katiba tarehe 20 Januari.

2
Makamu Joseph Biden, Jr. anakula kiapu mbele ya Jaji wa Mahakamu kuu Sonia Sotomayor nyumbani kwa makamu rais mjini Washington, January 20, 2012.

3
Obama na mkewe Michele wakishirika katika siku ya kuhudumia wasojiweza na maskini ikiwa sehemu ya sherehe za kuapishwa rais, siku aliyoanzisha wakti wa mhula wa kwanza

4
President Barack Obama stains a bookshelf at Burrville Elementary School as the first family participated in a community service project for the National Day of Service, part of the 57th Presidential Inauguration, in Washington, January 19, 2013.