Rais Joe Biden pamoja na mkewe na baadhi ya wajumbe wa serikali yake na wakuu wa jeshi walihudhuria ibada ya kupokea wanajeshi 13 wa Marekani walouliwa mjini Kabul Afghanaistan kufuatia shambulio la kigaidi.
Wamarekani wa jimbo la kusini la Louisiana wajitayarisha kwa kimbunga kikubwa kuwahi kutokea tangu kimbunga cha Katrina kilichotokea miaka 16 na kusababisha vifo vya karibu watu 1 800.