Kwenye WB wiki hii tunaangalia makubaliano kati ya Hunter Biden ambaye ni mwana wa kiume wa Rais wa Marekani Joe Biden, na waendesha mashitaka ya kukubali makosa ya kukwepa kodi, kufutiwa kosa la kumiliki bunduki kinyume cha sheria, na ambayo sasa yanaonekana kugonga mwamba .
Malumbano makali ya kisheria yaendelea kuhusiana na kesi ya Hunter Biden.