Maelfu ya watu wahudhuria mkutano kupinga mashambulizi ya bunduki
Maelfu ya Watu washiriki kwenye maandamano na mikutano ya kupinga mashambulizi ya buduki, wakitoa wito wa hatua kali kcuhukuliwa ili kudhibiti bunduki Maekani.

1
Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC

2
Mkutano dhidi ya mashambulizi ya bunduki Washington DC

3
Mkutano wa kupinga mashambulizi ya bunduki Washington DC

4
Mkutano dhidi ya bunduki Washington "March for our Lives"