Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 20:41

Jeshi la DRC lapambana vikali na waasi wa M23, raia wa Kibumba walazimika kukimbilia Nyiragogo na Goma

Wakaazi wa Mji mdogo wa Kibumba ulioyoko kilometa Zaidi ya ishirini ya Mji wa Goma,waendelea kukimbia Nyumba zao wakibeba watoto, mizigo na mifugo wakihofia maisha yao kutokana na mapigano makali yanayoendelea kati ya jeshi la serikali ya Congo na waasi wa M23 ambao kwa sasa wapigania Kibumba pembezoni mwa Mbuga la wanyapori la Virunga. Wakaazi wanao kimbia wengine ni wajawazito na wasioweza kutembea, wakikimbilia nyiragogo na Goma kunusuru maisha yao.

Picha zote na mwandishi wa VOA Austere Malivika, Goma, DRC


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG