Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 03:41

Je, nini Super Tuesday?


Je, nini Super Tuesday?
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:41 0:00

Majimbo mengi zaidi yatafanya uchaguzi wa awali Jumanne, Machi 5, kuliko siku yoyote nyingine katika kipindi cha uchaguzi huu. Ndio maana inaitwa Super Tuesday.

Majimbo kumi na tano na mkoa mmoja utapiga kura siku ya Super Tuesday mwaka huu. Huko Iowa, matokeo ya uchaguzi wa awali wa Wademokratiki utatangazwa.

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG