Mwishoni mwa wiki wanamgambo wanaosadikiwa kuwa al- shabab walivamia maduka ya kifahari ya westgate mall mjini Nairobi. watu zaidi ya 60 wamekufa na wengine zaidi ya 175 wamejeruhiwa.
Wanamgambo wa kiislamu wavamia maduka ya westgate Nairobi

1
Moshi mkubwa ukifuka kutoka kwenye jengo la westgate mall Septemba, 23 ,2013.

2
Waokozi wa shirika la msalaba mwekundu wakikimbia nje ya ya jengo la Westgate Mall mjini Nairobi baada ya ufyatuaji wa risasi.

3
Vikosi vya usalama vya Kenya vikiwa nyuma ya ukuta nje ya jengo la Westgate Mall mjini Nairobi, Septembam, 23, 2013.

4
Watu wakichangia damu kwa watu waliojeruhiwa kwenye shambulizi katika jengo la westgate Mall.