Watu 37 wanahofiwa wamefariki kutokana na mafuriko katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wa Kinshasa kutokana na mafuriko ya ghafla yaliyosababishwa na mvua nyingi ya Jumatano usiku kuamkia Alhamisi
Watu wasiopungua 37 wafariki kutokana na mafuriko ya ghafla Kinshasa DRC

5
Mitambo ya umeme imefunikwa na maji yanayotokana na mvua nyingi ya siku moja mjini Kinshasa Januari 4, 2017. (VOA/TopCongo)

6
Mafuriko kwenye kituo cha umeme cha kampuni ya taifa ya umeme mjini Kinshasa Januari 4 2017. (VOA/TopCongo)

7
Mfanyakazi wa kampuni ya taifa ya umeme (SNEL) akisimama ndani ya maji ya mafuriko kwenye uwanja wa kituo cha umeme Kinshasa, Januari 4, 2017. (VOA/TopCongo)

8
Jiji la Kinshasa limefurika kwa maji kutokana na mvua ya usiku moja 2017. (VOA/TopCongo)