Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 06:53

Dunia yaadhimisha siku ya wanawake kwa matukio mbalimbali


Dunia yaadhimisha siku ya wanawake kwa matukio mbalimbali
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Dunia yaadhimisha siku ya wanawake kwa matukio mbalimbali kwa kuangalia changamoto na mafanikio, uvumbuzi na teknolojia ikiwa mojawapo.

Ikiwa Jumatano ni siku ya wanawake maelfu ya wanawake wanazidi kutaabika Kenya kutokana na hali ngumu ya Ukame, gharama ya juu ya maisha, huku wanawake wakibeba mzigo wa kujikimu...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

Makundi

XS
SM
MD
LG