Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 03:19

Rais Dilma Rousseff ashinda duru ya pili ya uchaguzi wa rais Jumapili

Rais Dilma Rousseff wa chama cha Workers' Party amemshinda mpinzani wake mkuu Aecio Neves wa chama cha Brazilian Social Democratic Party (PSDB) katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais ulokuwa na ushindani mkali.

Makundi

XS
SM
MD
LG