Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 01:06

BAL 2023: ABC yaongeza nafasi ya kufuzu baada ya ushindi wa pointi 79-76 dhidi ya Falcon


BAL 2023: ABC yaongeza nafasi ya kufuzu baada ya ushindi wa pointi 79-76 dhidi ya Falcon
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:34 0:00

Timu ya ABC ya Ivory Coast iliongeza nafasi yake ya kufuzu kwenye robo fainali ya ligi ya mpira wa kikabu Afrika kwa ushindi wa jumla wa pointi 79 -76 katika mchezo mkali dhidi ya Falcon ya Nigeria. Ungana na mwandishi wetu akukuletea yaliyojiri katika mchezo huo...

Makundi

XS
SM
MD
LG