Wapiga kura wa Afghanistan walijitokeza kwa wingi Jumamosi kuwahi kutokea wakikaidi vitisho vya Taleban na kushiriki katika kumchagua rais mpya atakae chukua nafasi ya Hamid Karzai.
Wafghanistan wapiga kura kumchagua kiongozi mpya

5
An Afghan policeman searches men before they enter a polling station in Adraskan district, Herat province.

6
Mwanamke wa kiafghanistan atizama majina wa wagombea kiti cha rais katika cheti chake cha kupiga kura, wilaya ya Adraskan. jimbo la Herat.

7
An Afghan man dips his finger into ink before casting a vote at a polling station in Jalalabad, east of Kabul.

8
An elderly woman shows another woman her inked finger after casting her ballot at a polling station in Kabul.