Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 19, 2025 Local time: 14:29

Maandamano ya "People's March" kabla ya kuapishwa Trump

Maandamano yaliyopewa jina la "People's March" yalianza kutoka uwanja wa Franklin na kupita kati kati ya jiji la Washington hadi uwanja mkubwa mbele ya makumbusho ya Lincon.

Maelfu ya watu wengi wao wanawake waliandamana mjini Washington Jumamosi Disemba 18, 2025, kulalamika dhidi ya kuapishwa kwa rais mteule Donald Trump, na kutoa ujumbe wa kulinda haki zote za kiraia na kibinadamu. Wakatio huo huo sherehe za kumkaribisha Trump zinafanyika leo Jumapili huko huko Washington. Maelfu ya watu wengi wao wanawake waliandamana mjini Washington Jumamosi Disemba 18, 2025, kulalamika dhidi ya kuapishwa kwa rais mteule Donald Trump, na kutoa ujumbe wa kulinda haki zote za kiraia na kibinadamu. Wakatio huo huo sherehe za kumkaribisha Trump zinafanyika leo Jumapili huko huko Washington.


Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG