Viongozi hao walikutana katika mji wa El Alamen na kujadili juu ya pendekezo la al-Sisis kua mpatanishi wa mgogoro wa nchi yake, jambo ambalo al-Burhan alikubaliana nalo kulingana na taarifa kutoka ikulu ya Misri.
Kiongozi wa Kijeshi wa Sudan Jenerali al-Burhana ataka kumaliza vita nchini mwake
Kiongozi wa kijeshi wa Sudan Jenerali Abdel Fatah al-Burhan amekutana na mshirika wake mkuu rais Abdel Fatah al-Sisis siku ya Jumanne wakati wa ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu kuanza kwa mapigano mwezi April nchini mwake.

1
Rais Abdel Fattah al-Sisi (R) wa Misri akutana na rais wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan (TSC) Jenerali Abdel Fattah al-Burhan katika ikulu ya mjini El Alamein, Misri, Ogusti 29, 2023.

2
Mkuu wa jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan (R) akikaribishwa na Rais Abdel Fattah al-Sisi alipowasili El Alamein kwenye pwani ya kaskazini ya Misri tarehe 29 Ogusti, 2023.

3
Rais Abdel Fattah al-Sisi (R) wa Misri akutana na rais wa baraza la mpito la kijeshi la Sudan (TSC) Jenerali Abdel Fattah al-Burhan katika ikulu ya mjini El Alamein, Misri, pamoja na washauri wao, Ogusti 29, 2023.

4
Mkuu wa jeshi la Sudan Abdel Fattah al-Burhan atembea wanajeshi kwenye kambi ya jeshi la majini la Flamingo, mjini Port Sudan hapo Ogusti 28, 2023. Hii ni mara ya kwanza kuonekana kwa kiongozi huyo tangu kuanza vita nchin i mwake April 15, 2023.
Forum