VOA Direct Packages
Rais Macron achelewa kuanza kampeni, atumia muda mwingi kumaliza vita Ukraine
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amechelewa kuanza kampeni za uchaguzi mkuu unaomkabili kutokana na kutumia muda wake mwingi kushughulikia masuala ya diplomasia kumaliza vita vya uvamizi wa Russia nchin Ukraine. Wakati huo huo mpinzani wake Marine Le Pen amekuwa akifanya kampeni nchi nzima.