Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 10:03

Msimu wa pili wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika, BAL, waanza

Msimu wa pili wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika, BAL, umeanza rasmi Jumamosi huko Dakar, Senegal, huku darzeni ya klabu za timu za wanaume kutoka nchi nyingi za Afrika vinawania taji la BAL 2022.

Timu za Sahara kutoka Guinea, Morocco, Msumbiji, Rwanda, Senegal na Tunisia—zimeanza michuano hiyo katika uwanja wa Dakar Arena.

Matokeo :
SLAC (Guinea) vs. DUC (Senegal) 85-75
AS Salé (Morocco) vs. REG BBC (Rwanda) 91-87
US Monastir (Tunisia) vs. CFV Beira (Msumbiji) 77-71

#theBAL #theBALonVOA #voa #Voaswahili #Senegal #Dakar


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG