Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 07:29

Watu watano wauwawa kwenye maandamano kupinga utawala wa kijeshi Sudan

Chama huru cha wafanyakazi wa Afya Sudan wanasema watu watano wameuwawa na polisi kwnye maandamano Jumamosi kupinga mapinduzi ya kijeshi

Maandamano hayo ya kutetea demokrasia Sudan yanafanyika wiki tatu baada ya kiongozi wa Kijeshi Jenerali Abdel Fatah al-Bourhan kuipindua serikali ya mpito, na siku mbili baada ya kutangaza utawala mpya.
Maandamano yamefanyika pia mjini Washington, Paris na London.

Makundi

XS
SM
MD
LG