Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 04:02

HABARI KATIKA PICHA: Shambulizi la kigaidi New Zealand

Dunia imeendelea kulaani shambulizi la mtu mwenye fikra za kigaidi wa mrengo wa kulia lililotokea katika misikiti miwili ya Ijumaa nchini New Zealand.

Watu wasiyopunguwa 49 waliuawa na zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo mjini Christchurch.

Mwanaume mwenye umri wa miaka 28 amefunguliwa mashtaka ya mauaji. Anatarajiwa kufikishwa mahakamani Jumamosi, kwa mujibu wa Kamishna wa Polisi Mike Bush.

Makundi

XS
SM
MD
LG