Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 22:37

Maandamano ya Upinzani dhidi ya IEBC, Kenya

Wafuasi kadhaa wa muungano wa upinzani wakematwa na polisi katika miji tofauti nchini Kenya. Wafuasi hao walijitokeza kushiriki maandamano yaliyopangwa kufanyika kila Jumatatu na muungano wa CORD, kushinikiza makamishna wa tume ya uchaguzi kujiuzulu kwa madai ya kutowajibika kwa Umma.

Makundi

XS
SM
MD
LG